Mwanadada
Wema Abraham Sepetu leo hii amezindua rasmi office yake inayohusika na
masuala ya productions na burudani.
 |
Wema akiongea kuhusu ofisi yake na waandishi pamoja na wageni waliohudhuria uzinduzi huo |
 |
Wema akiangalia mojawapo ya kazi zake |
 |
Wema akiwa katika picha na mama yake Mz |
 |
Wema akiwa katika picha ya pamoja na mama yake mzazi pamoja na dada yake na mtoto wao |
 |
Wema akiwa na Zamaradi nyuma ni Hartmann Mbilinyi amabye pia alikuwepo kuonyesha support yake |
 |
Msanii Rich akimpa mkono wa pongezi Wema |
 |
Wema akikumbatiana na mama Dotnata kama ishara ya upendo na pongezi |
 |
Wasanii
wenzake hawakubaki nyuma kama wanavyo onekana katika picha ni JB na
Cloud pamoja na mtu wangu wa nguvu Millard Ayo akiwa busy kikazi zaidi |
 |
Wema Sepetu CEO wa Endless Fame Productions akiwa amepose mezani kwake |
Pichani chini ni baadhi ya picha na muonekano wa Ofisi za Endless Fame
 |
Na hivi ndivyo mwanadada Wema alivyo tokeleza kwenye uzinduzi wa ofisi yake leo hii. Kitu cha Red & White. |
No comments:
Post a Comment