Footer 3

"I support Tanzania Asthma Foundation" DO YOU?

Kitchen Party cha Jacqueline Mafuru

          Decoration by PACO DECO               
Bi harusi mtarajiwa Ms Jacqline Mafuru
Very classic back ground by I-view media
Matron Devota akiwa kwenye gari na Jacq
My favorite pose
Bi harusi wetu mzuri jamani mashallah
                          
            Devota amesimama kwa heshima akisikiliza kwa makini


Ashura, Jacq,devota na Sarah(bff)
Yote tisa kumi kitchen party iliyokua na masomo tisa wote wamevaa sare sio madera!haachwi mtu hapa, si unyago tu  ushauri wa kuwa independent woman tunatoa, maisha kusaidiana. una biharusi wako mlete, hata mtaji tutampa.Full wafanybiashara!
Somo mkuu da Farida akitoa nasaha za mwisho
majina ya masomo kwa mpangilio waliokaa mbele Amina Design na shila.waliosimama Mishi,Khadija,Mary,Robeta,sharifa,Rose na Miranda.


Amina design akifanya cheers na biharusi
Doreen na Anita

Nakuona hapo zena,pendezaje


Malkia Khadja Kopa
Aunt Khadija,Aunt Afua,Mishi and me
 
Masomo full madini Shila sharifa na Mary
Ziada,Khadija n friend
Kill n her friend
Mwenye ngozi zao,mzuri mpaka raha!
Nice cake
mama wa bwana harusi


Amina design na mdogo wake Sada(mimi collection)
Sada, Amina Design and Khadija Mwanamboka
Mishi na Ashura
Bea na Amina Design
Mablogger Amina Design and Shamim Mwasha

Gaga wa ukwee Herry na Joketi

Aisha na Sada
Mboni umetokelezeaje
sada,Philo,Jacq's little sis n a friend
Joan,mwanamke wa kwanza kuwaweka kope wabongo
Aunt Afua(taarabu singer)



Amina Design nilipendezaje
Farida pendeza sana


salma msangi


Ziada from London

saada
wanadogo zangu wakwee,nakuona biharusi harusi imejibu




Jenifa Pemba
Jacqs sister

 make up hapa imetulia sio siri

No comments:

Amina Design

"I support Tanzania Asthma Foundation" DO YOU?
"I support Tanzania Asthma Foundation" DO YOU? Amina Design
Amina Design