Baada ya Diamond kuingia jukwaani kwa style yake ya kipekee na dancer
wake kwa mbwembwe za kutosha kuingia na njiwa uwanjani na kuwapeperusha, alipoanza kuimba sasa akatoa mpyaaaaaa pale alipowapa mashabiki
mgongo yeye na dancer wake na kuanza kujituma mauno daah! Jamaa si
wakavua suruali na kushusha wakabaki na boxer
No comments:
Post a Comment