Footer 3

"I support Tanzania Asthma Foundation" DO YOU?

Beyonce avaa nguo iliyotengenezwa kwa kanga yenye maandishi ya Kiswahili toka kwa designer wa Tanzania

Utajiskiaje kuona Beyonce akiwa amevaa vazi lililotengenezwa kwa kanga yenye maneno ya Kiswahili? ‘Wawili Ninyi Yawahusu….’ yanasomekana maandishi kwenye vazi alilolivaa mwanamuziki wa Marekani, Beyonce Knowles.
 Vazi hili alilolivaa Beyonce kwenye moja ya show zake za tour ya Mrs Carter, limetengenezwa na mwanamitindo wa Tanzania aishie jijini London Uingereza, Christine Mhando mwenye brand ya Chichia London Chichia London ndio brand iliyo maarufu sana nchini Uingereza kwa kutengeneza nguo za Kitanzania kwa kutumia Kanga na material mengine Kiafrika.
 Christina (katikati)
 Hizi ni baadhi ya nguo alizotengeneza.
   

  








                                                  More about Christina Chichia click .bongo5.com


No comments:

Amina Design

"I support Tanzania Asthma Foundation" DO YOU?
"I support Tanzania Asthma Foundation" DO YOU? Amina Design
Amina Design