Footer 3

"I support Tanzania Asthma Foundation" DO YOU?

DORIS MOLEL REDD'S MISS ILALA 2013

 
Washindana kuonesha kipaji cha kucheza.
 
.Mashuhuda.
 
Wakipita na kivazi cha ufukweni.
 
Vazi la jioni.
 
Hii ndio tano bora.
 
Miss Ilala 2013, Doris Molel akipunga mkono kwa furaha baada ya kutwaa taji hilo. Kulia ni mshindi wa pili Alice Isaack na kushoto ni mshindi wa tatu, Clara Bayo.
 
Huyo ndiye Miss Ilala akiwapungia mkono watazamaji hawapo pichani.
Mrembo Doris Molel usiku wa kuamkia leo ametwaa Taji la Miss Ilala kwenye kinyang’anyiro kilichopfanyikia Ukumbi wa Golden Jubilee jijini Dar es Salaam. Katika kipute hicho wanyange 13 walikuwa wakiwania taji hilo.    





Picha kwa hisani kubwa ya globalpublishers




No comments:

Amina Design

"I support Tanzania Asthma Foundation" DO YOU?
"I support Tanzania Asthma Foundation" DO YOU? Amina Design
Amina Design