Aunt Ezekiel(Rahma) ni Bongo actress
na fans wake lukuki hapa Tanzania na nje ya nchi, wengi wao mnataka
kujua mpangilio wa shughuli nzima ilkuwaje, je Aunt alipendezaje?? sasa
sie twawapa udaku simuni japokuwa picha si nzuri lakini wadau afadhali
kuliko kukosa kabisa!!
Aunt alipendezaje?? sijui leo itakuwaje mashallah!!
Halima Kimwana, Lulu & Rehema!! mtokelezea!!
Kiluvia La'familia
Wema & Aunt
Sameera & Halima
Ummy Sweet Sekibo & Sameera
Mpasuo wa haja!!
Picha kwa hisani ya mashughuli.blogspot.
No comments:
Post a Comment