
Mtangazaji
 wa Kipindi cha Jahazi ndani ya Radio Clouds FM,Arnold Kayanda akiwa 
pamoja na Mai Waifu wake Aneth wakati wakiingia kwenye hafla ya Ndoa yao
 iliyofanyika usiku wa Kuamkia leo kwenye Viwanja vya Karemjee,jijini 
Dar es Salaam.


Bw. Arnold Kayanda na Bi. Aneth Kayanga wakilishana keki.

Wakikabidhi keki kwa Wazazi.


Wapambe wakiwa wamevalia mavazi nadhifu kabisaaa.

Wakiingia Ukumbini.

Mdau akiwapokea Maharusi kwa Dansi zito.

Maharusi wakiingia.

Maharusi na Wapambe wao.

Keki na Champagne.

MC Kibonde akiliongoza Jahazi la sherehe hiyoo.

Maharusi wakikata kekii.


No comments:
Post a Comment