Footer 3

"I support Tanzania Asthma Foundation" DO YOU?

MADAME LILY AFUNGUA DUKA LA MAPAZIA

Ms Lilian Joseph Ogutu,ni Mjasiriamali mkongwe kwa zaidi ya miaka 15.Sasa hivi ameingia kwa kasi kubwa katika biashara ya mapazia(Curtains)kama picha zinavyojionesha mapazia yenye na ubora wa hali ya juu.
Anapatikana Kariakoo mtaa wa Tandamtii  opposite na Tahfifu na vilevile duka lake jipya litafunguliwa Dar free Market Osterbay.



                                                           Living room curtain available                          




Livng room curtains
                                                                      Bed Room Curtains
                                                                         Shower Curtains     
                                          Bathroom Decoration,soap Dishes yaaani mpaka raha.

Amina Design

"I support Tanzania Asthma Foundation" DO YOU?
"I support Tanzania Asthma Foundation" DO YOU? Amina Design
Amina Design