Pages

UWF YATOA ZAWADI KWA WASHINDI WA NNE NA WATANO WA SHINDANO LA MWANAMAKUKA 2013.

Mtangazaji wa kipindi cha Leo Tena,kutoka Clouds fm Dina Marios akipokea cheti cha shukrani kwa kazi yake nzuri ya kumtafuta Mwanamakuka 2013,kutoka kwa meneja wa mradi wa mwanamakuk,Bi Mariam Shamo.
 Wa pili kutoka kushoto ni mshindi wa kwanza wa shindano la Mwanamakuka bi Hadija Mbogulume akiwaq na picha zake alizochora na kununuliwa hapo hapo zote akiwa sambamba na baadhi ya wanachama wa UWF.

Edited:by Amina Design

No comments:

Post a Comment

aminaplummer20@gmail.com