Utajiskiaje kuona Beyonce akiwa amevaa vazi lililotengenezwa kwa
kanga yenye maneno ya Kiswahili? ‘Wawili Ninyi Yawahusu….’ yanasomekana
maandishi kwenye vazi alilolivaa mwanamuziki wa Marekani, Beyonce
Knowles.
Vazi hili alilolivaa Beyonce kwenye moja ya show zake za tour ya Mrs
Carter, limetengenezwa na mwanamitindo wa Tanzania aishie jijini London
Uingereza, Christine Mhando mwenye brand ya Chichia London
Chichia London ndio brand iliyo maarufu
sana nchini Uingereza kwa kutengeneza nguo za Kitanzania kwa kutumia
Kanga na material mengine Kiafrika.
Christina (katikati)
Hizi ni baadhi ya nguo alizotengeneza.
More about Christina Chichia click .bongo5.com
No comments:
Post a Comment
aminaplummer20@gmail.com