Washindana kuonesha kipaji cha kucheza.
.Mashuhuda.
Wakipita na kivazi cha ufukweni.
Vazi la jioni.
Hii ndio tano bora.
Miss
Ilala 2013, Doris Molel akipunga mkono kwa furaha baada ya kutwaa taji
hilo. Kulia ni mshindi wa pili Alice Isaack na kushoto ni mshindi wa
tatu, Clara Bayo.
Huyo ndiye Miss Ilala akiwapungia mkono watazamaji hawapo pichani.
Mrembo Doris Molel usiku wa kuamkia leo ametwaa Taji la Miss Ilala
kwenye kinyang’anyiro kilichopfanyikia Ukumbi wa Golden Jubilee jijini
Dar es Salaam. Katika kipute hicho wanyange 13 walikuwa wakiwania taji
hilo.
Picha kwa hisani kubwa ya globalpublishers
No comments:
Post a Comment
aminaplummer20@gmail.com