Leo napenda tukumbushane tena madashi dashi, mabaibui, kanzu, udi wa kihalat na al'udi high class. Abaya shop liko Quality Center Mall, pembeni ya duka langu, (Amina Design).kisha wana sell, penye sale hukosi kitu, na mimi sihaba nimeiwahi. Mpende jirani yako ndivyo tunavyohimizwa kwenye vitabu.
No comments:
Post a Comment
aminaplummer20@gmail.com