Leo napenda kumuelezea kwa ufupi
mwanamke mpiganaji kwa jinsi anavyopenda kuuelwzea ukweli wa matukio
muhimu hasa ya wanyonge katka kipindi chake cha LEO TENA na ni mchango
mkubwa sana kwa jamii nzima ya Watanzania, nae si mwingine ni
Mtangazaji wa Clouds Fm, kipindi cha leo tena, mwanadada Dina Marios.
Dina Marios ni Mtangazaji wa Clouds fm kipindi cha leo tena ambaye mwanzo wa mwezi huu alipata tuzo ya Tanzania Woman of Achievement Awards-Woman of the Year, ni baada ya nchi kutambua mchango wake katika jamii nami sina budi kumpongeza kwa hatua aliyofikia, hongera sana Dina Mario na hongera kwa kuwakilisha wanawake wote kwa ujumla.
Naomba wanawake tujifunze kupitia Dina Marios na kumpa support apate kusonga zaidi ya hapa.Blogu hii na timu nzima ya Amina Design inakutakia kila la kher katika kazi zako na uzidi kusaidia jamii inayokuzunguka.
Kwa vionjo zaidi toka leo tena mtembelee kupitia Blogu
yake http://dinamarios.blogspot.com/ na kipindi chake cha leo tena kinaenda hewani kuanzia Jumatatu hadi Ijumaaa kuanzia saa nne kamili mpaka saa saba mchana skiliza Leo Tena na Dina Marios.

Edited:by Amina Design
No comments:
Post a Comment
aminaplummer20@gmail.com