Pages

Cardigan zimeingia..unaweza valia tight au skin jeans na camisoles ndani kwa wasichana. Kwa wadada kama sisi itapendeza kama tukifunika kidogo hata kwenye gauni kama hizi za cotton. Hazina joto kabisa.





Edited:by Amina Design

2 comments:

Anonymous said...

BASIIIIIIIIIIIIIIIIII nahuo mshepu tena dada letu kiruuu umetokaje mwe salamu kutoka kwa mwanampotevu umsalimu sana mama mjukuu wake wa uk mchaga na jua utanijua tu basi utachekaje hellow to ur brother mtoto wa shule mombasa na kaka yake na mr plummer sis enjoy ur nite mbavu huna usipublish bt msg send mola akutangulie kwa kila kitu ishallah happy new yr 2013 amina vibusuuu siku nitajitambulisha ka ukishindwa kunijua mchaga mie

Anonymous said...

thanks dada amina, naipenda sana blog yako as well as your shop, leo nimeipenda hizo cardigan but me mnene sana, je ipo size kubwa ama ni free size?

please let me know ili niweze kuja

Post a Comment

aminaplummer20@gmail.com