Redd's Miss Tanzania 2012/13, Brigit Alfred (katikati) akiwa katika picha ya pamoja na Mamiss Tanzania waliopita.
Banana Zoro na kundi zima la B Band lilitoa burudani
Kazi ni kwako
Mambo ya burudani yalikuwa si mchezo, Uncle Lundenga na my wife wake wakisakata rumba toka B Band.
Warembo hii ilikuwa shughuli yao.
Kamati ya Miss Tanzania ikiwa katika picha ya pamoja.
Warembo ndani ya uzinduzi huo wa Miss Tanzania 2013.
Wadau mbalimbali wa sanaa ya urembo wakiwa ndani ya Serena Hoteli kushuhudia Uzinduzi huo.
Edited:by Amina Design
No comments:
Post a Comment
aminaplummer20@gmail.com