Pages

Katika Siku ya Wanawake Duniani najikita kwa Mkurugenzi Mtendaji-Amina Design

Leo ni siku ya wanawake duniani,katika kuadhimisha siku hii napenda kumuelezea kwa muhtasari mkurugenzi mtendaji wa Amina Design Company Limited.Amina Design ni mwanamke mfano wa kuigwa katika jamii,mwanamke jasiri,mpenda maendeleo na mwenye chachu ya kujikwamua pamoja na kuwakwamua wanawake wenziwe, pale anapohitajiwa msaada au ushauri harudi nyuma hata kidogo.Mimi napenda kumuita mpiganaji.Mbali na shughuli zote alizokuwa nazo upata mdawa kukaa na familia yake ni jambo la kujivunia kwa mwanamke kama yeye sababu ya shughuli zake lakini anashiriki kikamilivu katka kulea familia yake pamoja na shughuli zote za kijamiii kwa ukamilifu.Kwa ufupi anajitolea sana kwa jamii.Anapenda kuwaweka wengine first kuliko yeye(anapenda watu).Anapenda utani hata na wafanyakazi wake wakati mwingine wafanyakazi wanajisahau kuwa wapo na Boss wao ni heshima kubwa kuwa karibu na Da Amina kwani nimejifunza mengi toka kwake.
 Napenda kumalizia hapa na kukupa hongera sana Mkurugenzi mtendaji Amina Design na kumuomba Mwenyezimungu akupe afya njema hili upate kusaidia jamii inayokuzunguka kikamilifu na familia yako.Mungu akupe afya njema Amina Design.
 Nakutakia kher katika kuadhimisha siku ya wanawake duniani.










Edited: by Amina Design

No comments:

Post a Comment

aminaplummer20@gmail.com