Pages

WEMA SEPETU AZINDUA RASMI OFISI YAKE MPYA "ENDLESS FAME PRODUCTION"...!!!

Mwanadada Wema Abraham Sepetu leo hii amezindua rasmi office yake inayohusika na masuala ya productions na burudani.
Wema akiongea kuhusu ofisi yake na waandishi pamoja na wageni waliohudhuria uzinduzi huo 
Wema akiangalia mojawapo ya kazi zake
Wema akiwa katika picha na mama yake Mz
Wema akiwa katika picha ya pamoja na mama yake mzazi pamoja na dada yake na mtoto wao
Wema akiwa na Zamaradi nyuma ni Hartmann Mbilinyi amabye pia alikuwepo kuonyesha support yake

Msanii Rich akimpa mkono wa pongezi Wema

Wema akikumbatiana na mama Dotnata kama ishara ya upendo na pongezi
Wasanii wenzake hawakubaki nyuma kama wanavyo onekana katika picha ni JB na Cloud pamoja na mtu wangu wa nguvu Millard Ayo akiwa busy kikazi zaidi
Wema Sepetu CEO wa Endless Fame Productions akiwa amepose mezani kwake
Pichani chini ni baadhi ya picha na muonekano wa Ofisi za Endless Fame
Na hivi ndivyo mwanadada Wema alivyo tokeleza kwenye uzinduzi wa ofisi yake leo hii. Kitu cha Red & White.
Kwa hisani kubwa ya jestina-george

No comments:

Post a Comment

aminaplummer20@gmail.com