Pages

Hafla ya kuchangia Huduma za afya kwa wanawake iliyofanyika Dar es Salaam Serena Hotel

Babra Hassan wa Clouds Fm.
Msanii wa kizazi kipya,Barnaba na Sundy Gagalinoh

Kiduma na Msechu
Mama Salma Kikwete na wake wa Makamu wa Rais, Zakia (kushoto) na Aisha Bilal na Pili Kushoto ni Teddy Mapunda
Mama Salma Kikwete akikabidhi ngua kwa Jackie wa Dar Serena Hotel
Mama Salma Kikwete akikabidi cheti kwa na wake wa Makamu wa Rais, Zakia (kushoto) na Aisha Bilal 
Maria sarungi na Model wake
Mbwembwe za Missie Popular akipokea cheti kwa niaba ya NHC, Kushoto ni Teddy
Mkongwe wa saks King Maluu na Barnaba
Mkurugenzi wa Montage Ltd, Teddy Mapunda akimkabidhi mgeni rasmi, Mama Salima Kikwete, huku wake wa Makamua wa Rais wakishuhudia, Kushoto ni Zakia na Kulia ni Aisha
Teddy akitoa ukaribisho
Ujumbe wa BoT
 Missie Popular akitoa nasaha zake


Edited: by Amina Design

No comments:

Post a Comment

aminaplummer20@gmail.com