Pages

SAJUKI HATUNAE

SAJUKI HATUNAYE
 
 
Kwa kawaida huwa siandiki habari yoyote. Lakini kwangu hii sio habari, ni msiba ambao nimeguswa sana sana. Nakumbuka katika harakati za kumsafirisha Sajuki alivyokua anahitaji msaada wa kwenda India kwa matibabu. Wastara na Sajuki walikuja kunitembelea kariakoo. Mimi na Wastara tulikaa pale western union tushauriane ni nini cha kufanya, tuweze kufanikisha. Alhamdulilahi, Mwenyezi Mungu ameweka siri kubwa sana kwenye kifo. Pole sana Wastara, poleni sana wazazi na ndugu wa marehemu. Inalilahi waina ilaihii ragiun.
Amina Plummer
 

No comments:

Post a Comment

aminaplummer20@gmail.com