Rais
wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk.Jakaya Mrisho Kikwete,akimtunuku
Nishani ya Sanaa na Michezo Bi Fatma Baraka Khamis,(Kidude) kupitia
Basata katika sherehe za kutunuku nishani mbali mbali katika viwanja vya
Ikulu Dar des Salaam,katika kusherehekea maadhimisho ya miaka 51 ya
Uhuru wa Tanganyika
RAIS wa
Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed
Shein,akisalimiana na Bi Fatma Baraka Khamis,(Kidude) baada ya
kutunukiwa nishani ya Sanaa na Michezo na Rais wa Tanzania Dk.Jakaya
Mrisho Kikwete,(kulia) katika sherehe za kutunuku Nishani .
No comments:
Post a Comment
aminaplummer20@gmail.com