Rehema Chalamila a.k.a Ray C, akiwa na Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa
Tanzania Mh. Jakaya Mrisho Kikwete juzi jumapili katika
maadhimisho ya miaka 51 ya uhuru. Tunakuombea urudi katika hali yako ya
kawaida. Watanzania tunakupenda na tunatambua mchango wako kwa Taifa.
No comments:
Post a Comment
aminaplummer20@gmail.com