Pages

Rais Jakaya Mrisho Kikwete atoa tuzo za mwajiri bora 2012 Mlimani City

Rais Jakaya Kikwete akiingia katika Ukumbi wa Mlimani City kukabidhi Tuzo ya mwajiri bora 2012
Rais akikabidhi Tuzo ya mshindi wa jumla ya mwajiri bora 2012

Waziri wa Kazi na Ajira, Gaudensia Kabaka akikabidhi tuzo ya msindi wa pili ya mwajiria bora kwa Naibu Mkurugenzi Mtendaji Huduma Shirikishi katika Benki ya CRDB, Esther Kitoka
Kelvin Twissa, Mkuu wa Kitengo cha Masoko na Mawasiliano wa Vodacom Tanzania akipokea tuzo

Picha na Amina Design

No comments:

Post a Comment

aminaplummer20@gmail.com