Huna haja ya kuweka dawa, unaweza kukaa nazo hata miezi mitatu. unatakiwa tu kwenda kuziosha na kuzirepair. Nywele ni nyepesi haziweki joto. Pendeza kiafrika zaidi, na Afro kinky.
1 comment:
Anonymous
said...
zimekupendeza sanaa. weka picha zaidi za hizo nywele tuone vizuri
1 comment:
zimekupendeza sanaa. weka picha zaidi za hizo nywele tuone vizuri
Post a Comment
aminaplummer20@gmail.com