Burundi
Eritrea
Ethiopia
Kenya
Rwanda
Tanzania
Uganda
Pichani
ni warembo watakaowania taji la Miss East Africa 2012 wakiwa katika
vazi la ufukweni, jijini Dar es salaam. Shindano hilo litafanyika tarehe
7 December 2012 (Ijumaa wiki ijayo), kwenye ukumbi wa Mlimani City, Dar
es salaam.
Mashindano
haya Yanaandaliwa na kumilikiwa na kampuni ya Rena Events Ltd na
kudhaminiwa na TANAPA, Hifadhi ya Taifa ya Ngorongoro, Ethiopian
Airlines, Seascape Hotel, Darlings Hair, Ako Catering, DTP, Satguru, na
Clouds FM.
Picha na habari kwa hisani ya jestina-george
No comments:
Post a Comment
aminaplummer20@gmail.com