Hongera sana Flaviana matata kwa moyo wako wa upendo kujitolea kuwafikiria watoto wasiokuwa na ndoto ya kufika mbali. kuwapa mwanga na matumaini ya maisha yao. Kwa umri mdogo uliokua nao ungeweza kumezwa na dunia na kufanya mengi yako binafsi. Lakini mapenzi na huruma uliyokua nayo, inakufanya ukumbuke uliowaacha nyuma yako. Ni mfano kwa jamii, Watanzania tunajivunia tuna Flaviana Matata,Mwenyezi Mungu aendee kukubariki na kukulinda.
No comments:
Post a Comment
aminaplummer20@gmail.com