Pages

Pata Muonekano

Rangi ya bahari. material ya hariri(silk) nguo hii unaweza vaa harusini au kwenye bridal shower. kwa kuwa material yake ni mepesi sana na ina mental hapo kifuani haihitaji mambo mengi sana. unavaa heleni ndogo za silver ,clutch na kiatu cha rangi yoyote lakini isiwe black au brown. 
Amina Design fashion for your life.  




No comments:

Post a Comment

aminaplummer20@gmail.com