Pata muonekano kutoka Amina Design Boutiques. Quality Center Mall and Kariakoo mtaa wa Pemba na Congo.
Nguo ya kuvaa kwenye send off party kwa mdada mwenye heshima zake.
Less iko kwenye fashion, karibu Amina Design (be the first to know) Mteja kwetu ni diamond. Madame you look absolutely beautiful
1 comment:
Anonymous
said...
Da amina naomba unisaidie ,mi ni msichana na moja wa wateja zako na graduate nov mwishoni na ni mjamzito ss naweza nikapata nguo nzuri kwa siku hiyo na kwa hali yangu dukani kwako ?
1 comment:
Da amina naomba unisaidie ,mi ni msichana na moja wa wateja zako na graduate nov mwishoni na ni mjamzito ss naweza nikapata nguo nzuri kwa siku hiyo na kwa hali yangu dukani kwako ?
Post a Comment
aminaplummer20@gmail.com