Pages

Naibu Waziri wa Fedha Mh. Janet Mbena afungua Huduma za Benki ya Wajasiriamali, Equity Bank

I salute wanawake Wapambanaji ( wajasiriamali)
 

 

 


Nimependa sana alivyovaa mheshimwa Janet Mbena, rangi ya nguo ni nzuri, mshono umetulia, kila kitu kiko spot on. Jamani wa mama wengine mlio kwenye nafasi kama hizi tunajua fika mna majukumu mengi, mambo ya fashion tupeni kazi wanenu. kuna Mafashionista kibao mjini wa kuweza kuwasaidia. 

No comments:

Post a Comment

aminaplummer20@gmail.com