Pages

Je umeshapata kivazi cha kwenda kwenye Miss Tanzania Nov 3 mwaka huu? Jiunge, na si mwingine bali Miss Tanzania mwenyewe Salha Israell akifanya shopping yake Amina Design ndani ya Quality Center. Kua mjanja vaa Amina Design, watu wageuze shingo.

Miss Tanzania 2011 (kushoto) Salha Israel (alievaa nguo nyeusi yenye tie nyuma). wakifanya shopping jana Amina design.
Hizo ni baadhi tu ya nguo walizojaribisha stay tuned kwa nguo watakazovaa kesho.
The 4th runner Miss Jenifa Kakolaki alikua miongoni  mwa waliotutembelea 

No comments:

Post a Comment

aminaplummer20@gmail.com