Pages

Flaviana Matata ndani ya mitindo nite 3, New York


Flaviana Matata katika picha ya pamoja na mtayarishaji wa mitindo nite 3 Ma Winny Casey (kati) pamoja na mlimbwende Mtanzania Maggie Munthali atakaeiwakilisha Tanzania Usa kumtafuta Miss Afrika USA itakayofanyika Jumamosi hii kwenye ukumbi huo wa Hampton uliopo 207 W Hampton Place, Capitol Heights, MD.

No comments:

Post a Comment

aminaplummer20@gmail.com