Kutoka Kulia CEO wa Beffta, Pauline Long akitaja washindi wa tuzo za mwaka 2012.
Fabrice Muamba akiwa na furaha tele baada ya kukaribishwa kwa shangwe na shauku na wadau.
Kutoka Kulia CEO wa Beffta, Pauline Long akitaja washindi wa tuzo za mwaka 2012.
Mtangazaji Nguli wa zamani wa ITV sir Trevor McDonald akisema machache baada ya kupokea Tuzo ya Beffta ''LIFE TIME ACHIEVEMENT ''.
Makamuzi yakiendelea.
Frank Eyembe akila pozi na Fabrice Muamba.
Frank akiwa na Actor Wale Ojo baada ya kunyakua tuzo ya best actor
kutoka kulia Mshindi wa best of Best Fashion Choreographer 2012 Yvonne, Jestina, Peace na Frank.
No comments:
Post a Comment
aminaplummer20@gmail.com