Pages

KITUKO ALICHOKIFANYA DIAMOND FIESTA 2012.


Baada ya Diamond kuingia jukwaani kwa style yake ya kipekee na dancer wake kwa mbwembwe za kutosha kuingia na njiwa uwanjani na kuwapeperusha, alipoanza kuimba sasa akatoa mpyaaaaaa pale alipowapa mashabiki mgongo yeye na dancer wake na kuanza kujituma mauno daah! Jamaa si wakavua suruali na kushusha wakabaki na boxer

No comments:

Post a Comment

aminaplummer20@gmail.com