Cynthia on her wedding day
The blogger and fashionista Miss Mariam Ndaba
getting ready at Amina's design to go to Cynthia's wedding.
E- entertainment peach dress is 240,000. A play bunny earrings is 15000, A gorgeous Jessica Simpson shoe for 280,000. Is she looking beautiful!
KUONA JIUGONGWAAA......WATU WALIVYOJIAACHIA....RED CARPET NA MENGI MENGINEYO ,DUMBUKIA HAPO CHINI
BON LUV ALIWARUSHAAAAJEEE?!!
JIUGONJWA
MZIKI ULIFUNGULIWA HIVI |
DECOR
zulia lilitulia nilishindwa mwenyewe kila angle nilikuwa najiachia akijidai analikimbia red carpet namkatizia denge |
ni serena ukumbi mpya....naona Mr & Mrs Mziray wamefanikiwa kuubikiri rahaaje?!!
REDCARPET
hahahhaha MC alivunja kabati ...tetec zinasema baada ya bwana harus anayefuatia kwa kuvunja kabati ni yeye ;)
shost kimekuchomoza..... |
MADINI
NILIKOGUSWAA
Picha lebo 8020 kwa hisani ya 8020fashions
No comments:
Post a Comment
aminaplummer20@gmail.com