Pages

Watoto zaidi wavishwa na Amina design, wahi sasa mzazi ujipatie mapema!!!Blog hii inawatakia Ramadhan Mubarak wateja wake wote na pia tunatoa punguzo la asilimia 25 kwa wateja wote watakoona nguo kupitia blog hii au mashughuli blog ukija na nakala ya nguo hiyo(picha kama kielelezo).Ahsante na karibuni tena Amina Design ndo mambo yote....!!


 Naah!, kuanzia kiatu, nguo, kidhandbag & hairband
Nguo za watoto wakiume kila size zinapatikana, kumbuka maduka yote ya Amina Design utapata unachotaka!!
Design mbalimbali na za ukwee'e
Swaga za ukwee'e
Tishirt za aina mbalimbali, jeans na cadet zinapatikana
Watoto wakiwa na furaha baada ya kuvaa nguo na kupendeza, si unajua watoto wetu wanazijua swaga za ukwee

No comments:

Post a Comment

aminaplummer20@gmail.com